Tanzania Students' Center in Cairo
Baadhi ya wanafunzi wa Markazi ya watanzania Misri (TSCC) kutoka mataifa mbambali wakimsikiliza mwalimu wao (hayupo pichani) kwa umakini na uangalifu kwenye somo la Kingereza. Markazi inafundiasha lugha mbalimbali ikiwemo Kiswahili,Kingereza,Kiarabu na Kichina,kama ambavyo kituo hakikujiweka nyuma kwani kinafundisha Masomo ya Computer na ufundi wake.
No comments:
Post a Comment