Wednesday, January 9, 2013

Mapigano ya kikabila yazuka tena Kenya

Kulingana na Caleb Kilunde afisa wa shirika la msalaba mwekundu, watu wawili kati ya wanane waliouwawa wanaaminika kutoka katika kundi la washambuliaji walioanza kuishambulia jamii ya wa Orma katika kijiji cha nduru. Caleb amesema watu wengine watatu walipata majeraha mabaya ya kichwa na kwamba hali mpaka sasa ni ya wasiwasi kwa kuwa harakati za kulipiza kisasi huenda zikawa zinapangwa.
Kulingana na Caleb Kilunde afisa wa shirika la msalaba mwekundu, watu wawili kati ya wanane waliouwawa wanaaminika kutoka katika kundi la washambuliaji walioanza kuishambulia jamii ya wa Orma katika kijiji cha nduru. Caleb amesema watu wengine watatu walipata majeraha mabaya ya kichwa na kwamba hali mpaka sasa ni ya wasiwasi kwa kuwa harakati za kulipiza kisasi huenda zikawa zinapangwa. Soma Zaidi DW

No comments: