Shirika la Valkswagen linalojihusisha na utengenezaji magari, mara hii limekuja kivyengine kwa kutoa gari inayopaa juu kama ndege, gari hiyo yenye uwezo wa kubeba watu wawili, itakua inatumia barabara za kawaida ila hii itakua inaruka juu.
Gari hii mpya haina matairi kama ya gari la kawaida inauwezo wa kupaa bila ya kukimbizwa kw vile inavyokua ndege, katika pita pita yake barabara inasubiri mataa kama gari la kawaida.
No comments:
Post a Comment