Wednesday, January 9, 2013

Mzozo wa gesi washika kasi Tanzania

Rais JK

Mzozo wa gesi ya Mtwara kusafirishwa jijini Dar es Salaam unazidi kufukuta, ambapo sasa madai hayo yanapata uungwaji mkono kutoka katika makundi mbalimbali ya watu wakiwemo viongozi wa dini na wasomi.
Huku mzozo wa gesi ya mkoa wa Mtwara kusafirishwa jijini Dar es Salaam Tanzania ukizidi kufukuta, sasa baadhi ya wachambuzi nchini humo wanaungana na wakaazi hao wakisema kuwa wana madai ya msingi ya kutaka mkoa wa Mtwara moja kati ya mikoa maskini nchini humo kufaidika na mapato ya gesi hiyo kabla ya taifa zima kunufaika na rasilimali hiyo. Soma zaidi DW

No comments: