Tanzania Stars in Cairo (TSC FC) kesho wanatarajia kushuka uwanjani kuendelea na mazoezi yao ya kila wiki katika uwanja wa Citadel maeneo ya Saida Aisha.
Akizungumza na ripota wetu kocha na mdhamini wa timu hiyo ndugu Abdallah Matitu (baba fahdy) alisema kuwa
Mazoezi yataanza saa 4:00pm mpaka 5:00pm, na kuomba wachezaji kufika mapema ili kwenda sambamba na ratiba ya mazoezi.
pichani kocha na mdhamini wa timu hiyo (wakwanza kushoto) akiwa na mchezaji tegemeo Twaha kizuki (Galabwana) alipotembelewa na kocha huyo maeneo ya bouth Hostel ili kuzungumzia mkataba wa mchezaji huyo ambao unaisha hivi karibuni.
No comments:
Post a Comment