Monday, May 5, 2014

SHEIKH ILUNGA AFARIKI DUNIA

Taarifa  zilizotufikia kutoka kwa watu wetu wa karibu zinasema kwamba Muhubiri wa Kiislamu nchini Tanzania na Afrika Mashariki dunia Sheikh Ilunga amefariki Dunia kwa ugonjwa sukari.

2 comments:

Anonymous said...

Inna lillahi wa inna ilayhi raji'un... Allah amjaalie mafikio mema inshaallah

Anonymous said...

Inna lillahi wa inna ilayhi raji'un... Allah amjaalie mafikio mema inshaallah