Markazi, Tanzania Students' Center in Cairo, (TSCC).
Imeanza kuaanda Film za simulizi za kweli (documentary),
hii ni hatua mpya kwa kituo hichi cha Markazi kuanaanda film za aina hiyo.
Filim hizo zitaanza kurusha baada ya mitihani kupitia Channel yetu ya Youtube ijulikanoyo kwa jina la Markazi Cairo.
Markazi inawalika wale wote wataopenda kuandaliwa film za simulizi za kweli wafike katika ofisi zetu zilizopo Maida Geishi,Jumba No. 6 Ghorofa ya 5.

No comments:
Post a Comment