Friday, January 4, 2013
Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
_________________________________________________________________
3
16.Haki ya faragha na ya usalama wa mtu.
17.Uhuru wa mtu kwenda atakako.
Haki ya Uhuru wa Mawazo
18.Uhuru wa maoni.
19.Uhuru wa mtu kuamini dini atakayo.
20.Uhuru wa mtu kushirikiana na wengine.
21.Uhuru wa kushiriki shughuli za umma.
Haki ya Kufanya Kazi
22.Haki ya kufanya kazi.
23.Haki ya kumiliki mali.
24.Haki ya kupata ujira wa haki.
Wajibu wa Jamii
25.Wajibu wa kushiriki kazini.
26.Wajibu wa kutii sheria za nchi.
27.Kulinda mali ya Umma.
28.Ulinzi wa taifa.
Masharti ya Jumla
29.Haki na wajibu muhimu.
30.Mipaka kwa haki, uhuru na hifadhi kwa haki na wajibu.
Soma zaidi
Subscribe to:
Post Comments (Atom)

No comments:
Post a Comment